MTM Logo

MTM

MasterTechMaker

📰 Habari
Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz... ⏳ MTM • COMMUNITY • UPDATE Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz...

MFUMO MKUBWA WA SOLAR + UPEPO - 3KW WA MATUMIZI YA NYUMBANI {220V AC}

Meshack Richard 30 Jun 2026 03:51 AM
MFUMO MKUBWA WA SOLAR + UPEPO - 3KW WA MATUMIZI YA NYUMBANI {220V AC}
Other Image

Maelezo

Lengo la Mradi Wangu Ni Kuzalisha Umeme Wa Nyumbani Ukiwa Ata Kijijini Pasipo Kukatika Na Bila Kutegemea Umeme Wa TANESCO pia Huu Mfumo Umetengenezwa Kwa Technology ya Kisasa Ya Kutumia Jua(Solar) na Upepo(Turbine)pia na Betri 2×12V 200Ah=(24V 200Ah)Mpaka na Kuleta Matokeo Mchana Kwa Jua na Usiku Kwa Upepo💫

Maoni

1
Ingia ili kuacha maoni.
K
Kassim seifu tokea wiki 2

Pamoja sana