MTM
MasterTechMaker
Mshine ya vending ya kuuza sigara
Innovation
Pdf
Maelezo
Masine itakua inapokea sarafu na badae inadondosha singara intakua na sehemu ya kiberiti itauza kwa bei nafuu itatoa huduma 24/7 Na mtu atajihudumia mwenyewe kulingana na aina ya sigara anayo taka Bado ni wazo hasa nahitaji support kwa yule mbunifu alie tengeneza masine ya kuuza maji anisaidie kufanikisha hilo
📌 Machapisho Yanayohusiana
Maoni
0
Ingia ili kuacha maoni.
Hakuna maoni bado.