MTM Logo

MTM

MasterTechMaker

📰 Habari
Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz... ⏳ MTM • COMMUNITY • UPDATE Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz...

Muktasari wa mada ya Electrical na Electronics Part 4

Admin Master Tech 30 Jun 2026 09:37 AM
Electronics Video

Maelezo

kwenye hii video imeongelea somo la electrical and electronics kwa muktasari kuhusu mada hiyo. tega muda na masikio kusikiliza mwendelezo huu wa kuelimishana kuhusu tech part four..

Maoni

4
Ingia ili kuacha maoni.
I
Ismail tokea wiki 2

Habari mwalim, samahani kama utapata muda, tunaomba Muendelezo mwalim

A
Ally tokea wiki 3

Ongeza muda kidogo wa masomo hayo walau hata 30dk

I
Ismail tokea wiki 4

Shukran mwalim, sisi wengine haya ndio yalio tuleta humu.

A
Admin tokea wiki 4

Pamoja sana na karibu sana..