MTM Logo

MTM

MasterTechMaker

📰 Habari
Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz... ⏳ MTM • COMMUNITY • UPDATE Habari za Muda Huu: Mazuri Yanakuja kwa Jamii ya MTM 🚀 — Wana MTM, tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu. Maboresho makubwa yanaendelea na muda si mrefu mtayaona. Endeleeni kuwa karibu na Group pamoja na Web App yetu kwa taarifa na fursa mpya. Kaeni mkao wa kula, maz...

Pampu ya kujaza maji Bila kusimamiwa. (demo)

Admin Master Tech 08 Jun 2026 03:01 PM
Electronics Video

Maelezo

Jinsi Inavyofanya KaziKadi au Tokeni: Unaweka salio kwenye kadi maalum ya kielektroniki au tokeni (smart card/tag).Namba ya Siri/Simu: Mifumo mingine inakuruhusu kulipia kwa simu ya mkononi (kama M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa) na kupata namba ya siri (OTP).Utoaji wa Maji: Ukigusa kadi au kuingiza namba ya siri kwenye pampu, mfumo unasoma salio lako na kufungua vali ya maji.Kipimo Sahihi: Pampu ina kifaa cha kupima mtiririko wa maji (flow meter) kinachokata maji mara tu thamani ya fedha yako inapofika mwisho.

Maoni

16
Ingia ili kuacha maoni.
E
Emanuel tokea mwezi 1

🔥🔥🔥🔥

S
Said tokea mwezi 1

Hii iko good

B
Bashiru tokea mwezi 1

Hongera sana mkuu, je tunaweza tukapewa idea hii? Ahsante 🙏

H
Hassan tokea mwezi 1

Namna gani naweza kujiifunza kutengeneza hii

R
Richard tokea mwezi 1

namna ya kutengeneza

F
fadhil tokea mwezi 1

mbona video haziplay

A
Admin tokea mwezi 1

Tnalishughulikia

I
isihaka tokea mwezi 1

Tayari solved ✍️

E
Emmanuel tokea mwezi 1

Kazi nzuri

A
Admin tokea mwezi 1

Shukran

K
Kasele tokea mwezi 1

Safi sana

I
Issa tokea mwezi 1

Iko vizuri

J
JULIUS tokea mwezi 1

good

A
Admin tokea mwezi 1

Safi sana

I
isihaka tokea mwezi 1

iko vizuri

M
Munga tokea mwezi 1

amejitahidi sana sana..